- 65 viewsVOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
Wasichana Kenya waelimishwa kuhusu hedhi | VOA Swahili
- - Duniani Leo ››
- 18 Oct 2024 - The bald truth: Of Millie's candid and shocking take on women's challenges and choices in Parliament, and the wig that hides Kenya's struggle
- 18 Oct 2024 - The exercise was thrown into disarray for hours after the former Mathira MP suddenly fell ill.
- 18 Oct 2024 - The Kenya women’s U17 Soccer team,Junior Starlets went down 0-2 to England in their opening group C match of the ongoing FIFA U17 Women’s World Cup in Dominican Republic. England eager to stamp their authority in the game, controlled proceedings from…
- 18 Oct 2024 - The Senate has resolved to impeach Deputy President Rigathi Gachagua following a two-day exercise that entailed volumes of evidence and hours of cross-examination.
- 18 Oct 2024 - The World Bank will unveil plans to tackle job creation, gender disparities, and food security at next week's gathering of the world's finance ministers and central bankers in Washington, its president said in an interview. The World Bank also plans to…
- 18 Oct 2024 - World Bank chief says lender's climate goals likely safe under Trump
- 18 Oct 2024 - Nominated Senator Karen Nyamu has now shifted some semblance of blame to President William Ruto for choosing Rigathi Gachagua as his preferred deputy in the run-up to the 2022 elections.
- 18 Oct 2024 - Prof Kindiki’s bid has been strengthened by the recent opinion polls by Infotrak and Tifa.
- 18 Oct 2024 - The Health Cabinet Secretary Dr. Deborah Barasa has called on all Kenyans to participate in cancer prevention through early screenings and community support. Dr. Barasa emphasized the government’s dedication to expanding healthcare access and urged…
- 18 Oct 2024 - The Health Cabinet Secretary Dr. Deborah Barasa has called on all Kenyans to participate in cancer prevention through early screenings and community support. Dr. Barasa emphasized the government’s dedication to expanding healthcare access and urged…