Wasichana wa kati ya miaka 10-24 wapewa mafunzo maalum Mombasa

  • | Citizen TV
    520 views

    Wasichana zaidi ya 200 wa umri wa kati ya miaka 10 na 24 kutoka eneo la Likoni kaunti ya Mombasa wamehamasishwa kuhusu jinsi ya kukabiliana na changamoto za maisha zinazowakumba wasichana wa umri mdogo.