Wasimamizi wa mitihani waonywa dhidi ya udanganyifu

  • | Citizen TV
    156 views

    Na Katika kaunti ya Kisii, ufunguzi wa konteina ya mitihani ulifanyika mapema mwendo wa saa moja alfajiri huku washikadau katika wizara ya afya wakisema kila kitu ki shwari tayari kwa shughuli hiyo ya kitaifa. aidha baadhi ya mikakati iliyowekwa kuzuia udanganyifu ni pamoja na kuzimwa kwa kamera za CCTV shuleni ili kuhakikisha kuwa wanafunzi wanafanya mtihani kwenye manthari ambayo ni shwari.