3 Nov 2025 10:16 am | Citizen TV 231 views Duration: 1:29 Watainiwa zaidi ya 31,627 katika kaunti ya Migori wameanza mtihani wa KCSE asubuhi ya leo huku maafisa wanaosimamia mtihani huo wakieleza kuwa mikakati kabambe imewekwa kudhibiti udanganyifu......