Wasioweza kujikimu kupokea msaada wakati wa Ramadan

  • | KBC Video
    12 views

    Kama sehemu ya uhisani wake kwa jamii, wakfu wa Zamzam kwa ushirikiano na kampuni ya Hass Petroleum, umezindua mpango wa utoaji chakula cha msaada kwa wasiojiweza katika jamii katika mwezi mtakatifu wa Ramadan.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive