Wasiwasi unaongezeka kuhusu mfumo wa mamlaka ya afya ya jamii ya SHA

  • | K24 Video
    220 views

    Wasiwasi unaongezeka kuhusu mfumo wa mamlaka ya afya ya jamii ya SHA, huku ripoti mpya kutoka kwa chama cha hospitali binafsi na vijijini (RUPHA) ikionyesha kushuka kidogo kwa vigezo muhimu. utendakazi wa sha umeshuka kutoka 46% mnamo Disemba 2024 hadi 44% mnamo januari mwaka huu, changamoto zikiwa katika malipo, na kasoro kifumo katika utekelezaji