Wasiwasi wa Mbolea Busia

  • | Citizen TV
    52 views

    Wasiwasi umeibuliwa kuhusu idadi ndogo ya wakulima wanaojitokeza kuchukua mbolea ya ruzuku kwenye maghala ya NCPB kaunti ya Busia, licha ya mbolea hiyo kusambazwa katika maeneo bunge yote saba ya kaunti hiyo.