Wataalam waingia hofu huku visa vya HIV vikiongezeka Garissa

  • | Citizen TV
    742 views

    Kuongezeka kwa maambukizi mapya ya virusi vya ugonjwa wa ukimwi katika kaunti ya Garissa kumewachochea viongozi wa kaunti hiyo kutathmini upya mbinu ya kukabiliana na virusi vya HIV ili kuizuia kuenea zaidi