Wataalamu kupelekwa mashinani kutatua changamoto za bima ya SHA

  • | KBC Video
    20 views

    Serikali imewatuma mafundi wa mitambo 70 na wataalamu wa teknolojia katika kaunti 47, ili kusaidia kutatua changamoto zinazoshuhudiwa katika utekelezaji wa mfumo mpya wa bima ya afya ya jamii SHIF. Katibu katika idara ya huduma za matibabu Harry Kimutai, pia alifichua kwamba kamati maalum zitakazoongozwa na makamishna wa kaunti na mawaziri katika kaunti, zitaongoza shughuli ya uhamasishaji kwenye kaunti ili kuhakikisha wakenya zaidi wanajisajili kwa mfumo huo mpya.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive