Wataalamu wasema hakuna haja ya kuhofia Mpox Kenya

  • | Citizen TV
    223 views

    Siku moja baada ya shirika la afya ulimwenguni (WHO) pamoja na kituo cha kudhibiti na kuzuia magonjwa barani afrika kutangaza virusi vya mpox kuwa dharura ya kiafya, wizara ya afya nchini imetoa taarifa kuhusu jinsi kenya inajikinga dhidi ya virusi hivyo.