Watahiniwa 10,529 waanza mtihani wa KCSE 2024 nchini

  • | Citizen TV
    585 views

    Huku mitihani ya kitaifa ikiaza hapo Jana kote NCHINI, Katika kaunti ya Nakuru watahiniwa 10,529 tayari washaanza mitihani yao wakitarajiwa kufanya mitihani hiyo kwa muda wa mwezi mmoja