3 Nov 2025 10:18 am | Citizen TV 267 views Duration: 1:37 Mitihani ya KCSE imeanza bila tashwishi katika kaunti ya Nyamira, huku watahiniwa 21,611 wakitarajiwa kufanya mtihani huo katika vituo 195 katika kaunti hiyo.