Watahiniwa 965,501 wanafanya mtihani wa kitaifa wa KCSE

  • | Citizen TV
    156 views

    Waziri wa elimu Julius Migos Ogamba amewaonya watakaojaribu kuiba mitihani ya kitaifa ya KCSE kuwa watachukuliwa hatua kali.Tukisalia kwenye mtihani huo wa KCSE, Katibu katika wizara ya usalama Raymond Omolo naye alikuwa huko Kikuyu na kisha katika shule ya upili ya wasichana ya Alliance kushuhudia kuanza kwa mtihani huo.