Watahiniwa waliofuzu katika mtihani wa KCSE 2022 na 2023 wawahimiza wao wa 2024

  • | NTV Video
    28 views

    Watahiniwa waliofuzu kwenye mtihani wa kitaifa wa kidato cha nne KCSE mwaka 2022 na 2023 wamewashauri wenzao wanaofanya mtihani wa kitaifa wa KCSE mwaka huu kutia bidii kwenye mtihani huo ili kuandaa safari ya kuendeleza elimu juu.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya