3 Nov 2025 10:09 am | Citizen TV 671 views Duration: 1:34 Waziri wa elimu Julius Migos amesema usalama umeimarishwa katika vituo vyote vya kufanyia mtihani wa kitaifa wa KCSE wakati wanafunzi zaidi ya 990,000 wanafanya mtihani huo.