Watalii 800 wawasili nchini

  • | Citizen TV
    1,141 views

    Washika dau katika sekta ya utalii kanda ya pwani wameoyesha kuridhishwa na ongezeko la wageni nchini huku watalii zaidi ya mia nane wakiwasili kwa katika bandari ya Mombasa.