Watangazaji wa Redio Citizen wajumuika na waumini wa Kanisa la Revival Sanctuary kwa ibada maalum

  • | Citizen TV
    228 views

    Kampuni ya Royal Media Services kupitia kituo cha Radio Citizen, imeendeleza msururu wa ibada za jumapili za moja kwa moja kanisani.