Watashindana siku ya Alhamisi kuwania kufuzu Kombe la Dunia

  • | Citizen TV
    735 views

    Timu ya taifa ya Kenya, Harambee Stars, imeondoka nchini asubuhi ya leo kuelekea Ivory Coast tayari kwa mchuano wa kuwania kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Gambia