Watetezi wa haki wakusanya maoni ya wenyeji wa Lamu ambao haki zao zimedhulumiwa

  • | Citizen TV
    173 views

    Tume ya kitaifa ya kutetea haki za kibadamu imezuru kaunti ya Lamu ili kusikiliza na kuchukua maoni ya wenyeji wa Lamu wa asili ambao haki zao zimedhulumiwa baada ya kuathirika na miradi ya kibiashara inayoekezwa Lamu.