Watoto wafunzwa mbinu za kilimo mseto Laikipia

  • | Citizen TV
    67 views

    Jamii zinazoishi katika kaunti ya Laikipia zimehimizwa kuwasajili watoto wadogo katika juhudi za kurejesha mazingira kupitia kilimo mseto.