Watoto wangu walikuwa macho yangu katika vita

  • | BBC Swahili
    676 views
    Wazazi wawili wenye ulemavu wa kuona wamelazimika kuwategemea watoto wao kuwaongoza katika machafuko ya vita vya Gaza. Wamehamishwa mara tano katika Ukanda wa Gaza na sasa wanaishi katika kambi ya Al-Bureij. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw