Watoto wanne wafariki katika mkasa wa moto ulioteketeza nyumba yao

  • | TV 47
    80 views

    Wingu la huzuni na maombolezo limegubika kijiji cha Gakoigo Eneobunge La Maragwa kaunti ya murang'a kufuatia moto ulioteketeza nyumba moja na kusababisha vifo vya watoto wanne waliokuwa nyumbani humo.Na kama mwanahabari wetu Robert Gakure anavyoarifu, wapelelezi wameanzisha uchunguzi ili kubaini chanzo cha moto huo. __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __