Watoto wapewa sumu

  • | Citizen TV
    766 views

    Familia mbili katika kaunti ya Nakuru zinalilia haki kufuatia vifo vya wana wao wawili wachanga kwa kunyeshwa sumu. Katika kisa cha kwanza, mwanamke mmoja anazuiliwa kwa tuhuma za kumpa sumu na kumuua mtoto wa siku moja eneo la Salgaa.Aidha, mtu mwingine pia anadaiwa kuwanywesha sumu wanawe pacha wa miaka miwili eneo la Kiamunyi, ambapo mmoja alifariki na mwingine akilazwa hospitalini. Maryanne Nyambura anaarifu