Watoto watatu wa familia moja waangamia kwenye mkasa wa moto Mukuru

  • | KBC Video
    32 views

    Watoto watatu walichomeka hadi kufa katika mkasa wa moto uliozuka katika mtaa wa mabanda wa Mukuru kwa Njenga, eneo la Embakasi kaunti ya Nairobi jana usiku. Mamia ya wakazi waliachwa bila makao huku chanzo cha moto huo kikiwa bado hakijabainika. Polisi wameanzisha uchunguzi kuhusiana na mkasa huo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive