Watoto watatu wafariki katika mkasa wa moto Gachie

  • | KBC Video
    38 views

    Watoto watatu wenye umri wa miaka minne, miwili na mwaka mmoja walifariki katika mkasa wa moto katika kijiji cha Gachie eneo bunge la Kiambaa, Kaunti ya Kiambu. Mtoto wa miaka minane alibahatika kutoroka akiwa na majeraha wakati wa kisa cha moto kilichotokea jana usiku.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive