Watoto watumia sanaa katika kueleza hisia zao

  • | K24 Video
    60 views

    Kwa miaka na mikaka sanaa imetumika katika kuwasilisha ujumbe tofauti. Sanaa ni chombo cha mawasiliano, burudani , habari na cha kujikimu kimaisha. Katika kaunti ya Migori, sanaa inabadilisha maisha kwa njia ambazo wengi hawangeweza kufikiria.