Watoto wawili wapatika wameuawa katika hali tatanishi Nairobi

  • | Citizen TV
    3,553 views

    Polisi hapa Nairobi wanachunguza mauwaji tata ya watoto wawili walioondoka nyumbani jana usiku kumtafuta mama yao aliyekuwa ameondoka nyumbani mapema kwenda hospitalini.