- 3,543 views
Watu 10 wamefariki katika eneo la pwani kutokana na mafuriko yanayoendelea kuwahangaisha wakazi. Saba kati yao walifariki katika maeneo mbalimbali kaunti ya kwale. Mratibu wa pwani Rhoda Onyancha anasema kuwa zaidi ya watu elfu tano wamepoteza makazi yao katika kaunti ya Tana River. Haya yanajiri huku wafanyikazi wawili wa Halashauri ya Kukusanya ushuru KRAwakizidi kutafutwa baada ya kusombwa na maji ya mto Ramisi katika kaunti ya Kwale.
Watu 10 wafariki katika eneo la Pwani kutokana na mafuriko yanayoendelea kuwahangaisha wakaazi
- - Duniani Leo ››
- 1 Nov 2024 - For months, Agnes Bulaba, a Congolese refugee in Uganda, has had to get by without the food rations she once depended on. Her children scavenge among local communities for whatever they can find to eat.
- 1 Nov 2024 - Mt Kenya has historically played a decisive role in presidential elections.
- 1 Nov 2024 - By openly clashing with the president’s inner circle and more, Gachagua broke essential rules of political survival.
- 1 Nov 2024 - Abductions soil Kenya's image
- 1 Nov 2024 - Irony of low inflation but empty pockets
- 1 Nov 2024 - What awaits Kithure Kindiki
- 1 Nov 2024 - How procedural blunders cost Gachagua's lifeline
- 1 Nov 2024 - Targeted voices? Profile of kidnapped Kenyans fuels suspicions
- 1 Nov 2024 - Kindiki to finally get coveted prize after lengthy wait
- 1 Nov 2024 - Prof Kithure Kindiki is set to be sworn in Friday as Kenyas new Deputy President after a pivotal High Court ruling that lifted orders blocking his inauguration.