Watu 13 wamefariki kwenye ajali ya barabarani Nakuru

  • | Citizen TV
    6,166 views

    Watu Kumi Na watatu wamefariki Na wengine hamsini Na watano wakiuguza majeraha tofauti hospitalini kufuatia ajali YA barabarani eneo la Migaa kwenye barabara ya Nakuru Kuelekea Eldoret mapema Leo