Watu 16 zaidi waambukizwa ugonjwa wa kala-azar kaunti za Wajir na Marsabit

  • | KBC Video
    97 views

    Visa vipya-16 vya maambukizi ya maradhi ya Kala-azar vimenakiliwa katika kaunti za Wajir na Marsabit, huku idadi ya vifo ikifikia 33 katika muda wa saa 24 zilizopita. Akihutubia wanahabari katika gatuzi la Wajir, katibu katika idara ya afya ya umma Mary Muthoni aliwahakikishia wakazi kwamba mikakati imewekwa ya kukabili ugonjwa huo huku uangalizi ukiimarishwa katika kaunti zilizoko eneo la kazkazini Mashariki.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive