Watu 18 wafariki tangu mwezi wa Desemba Wajir kutokana na ugonjwa wa Kala-Azar

  • | Citizen TV
    353 views

    Zaidi ya wakazi 500 pia wanaugua ugonjwa huu

    Wanaougua wakosa dawa katika Kaunti ya Wajir