Watu 3 wafariki kufuatia ajali ya ndege Malindi

  • | KBC Video
    858 views

    Watu watatu wamefariki kufuatia ajali ya ndege ndogo katika kijiji cha Kwachocha huko Malindi, kaunti ya Kilifi. Ndege hiyo aina ya Cessna ilikuwa katika safari ya kawaida ya mafunzo, iliporipotiwa kukumbwa na hitilafu za kimitambo na kuilazimu kutua kwenye barabara kuu ya Malindi-Mombasa na kusababisha vifo vya watu watatu miongoni mwao mwendeshaji wa bodaboda. Mwelekezi wa ndege hiyo pamoja na wenzake wawili waliponea ajali hiyo, na kupelekwa katika kituo cha matibabu cha kibinafsi kilicho karibu huku uchunguzi ukianzishwa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive