- 1,136 viewsDuration: 3:01Hatimaye watu 31 waliofariki kwenye maporomoko ya ardhi katika eneo la Chesongoch, Kaunti ya Elgeyo Marakwet wamezikwa. Misa ya wafu ilifanyika katika uwanja wa mtakatifu Mauras Chesongoch na baadaye mazishi kufanywa kwenye kipande kimoja cha ardhi. Waziri wa Usalama Kipchumba Murkomen amesema kuwa serikali inasaidia familia zilizoathirika kurejelea maisha yao