Watu 4 wa familia moja wafariki kwenye ajali barabarani

  • | Citizen TV
    4,791 views

    Watu wanne wa familia moja wamepoteza maisha kwenye ajali katika daraja la Tenwek kando ya barabara ya Bomet kuelekea Olenguruone