Watu 6 wafariki kufuatia shambulizi la Al Shabaab Garissa

  • | KBC Video
    3,356 views

    Yamkini watu 6 waliuawa Jumapili asubuhi kufuatia shambulizi la kigaidi la Al Shabaab dhidi ya kambi ya polisi wa akiba ya Biyamadhow, iliyoko eneobunge la Fafi kaunti ya Garissa. Polisi wamesema watu wengine wanne walijeruhiwa wakati wa shambulizi hilo lililotekelezwa mwendo wa saa kumi na moja asubuhi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive