- 2,422 viewsDuration: 4:22Watu 6 walifariki huku wengine 11 wakiuguza majeraha mabaya kufuatia ajali ya barabarani iliyotokea jana usiku huko Ngoluni kwenye barabara ya Itangini-Tawa eneo la Mbooni Mashariki, kaunti ya Makueni. Kamanda wa polisi wa kaunti ndogo ya Mbooni Mashariki Iphrahim Karani amesema ajali hiyo ilitokea baada ya dereva wa lori lililokuwa likiendeshwa kwa kasi kugonga matatu ya abiria 14. Miongoni mwa waliofariki ni watu 4 wa familia moja. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive