Watu-6 wanaswa kwa kufungua kituo bandia cha polisi Kakamega

  • | KBC Video
    325 views

    Iwapo unadhani kuwa swala la kuzinduliwa kwa kituo bandia cha polisi katika eneo la Kesses, kaunti ya Uasin Gishu ni jambo lisilo la kawaida, basi tafakari tena . Katika kaunti ya Kakamega, watu sita akiwemo mwanamke mmoja wamekuwa wakiendeleza shughuli zao kwenye kituo bandia cha polisi, huku wakiwatia mbaroni wakazi na kuwatoza faini na hata kuwapa chakula. Lakini la kushangaza zaidi, ni kwamba wanawake na wanaume walilazimishwa kukaa kwenye korokoro moja.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive