Watu 7 wauawa na ndovu Samburu, mlizi wa misitu ndiye wa hivi karibuni

  • | Citizen TV
    1,140 views

    Mlinzi mmoja wa misitu ameuawa kwenye kisa cha punde cha uvamizi wa ndovu eneo la Tamio kaunti ya Samburu. Mauaji haya yakifikish idadi ya waliouawa na ndovu katika muda wa miezi kumi iliyopita hadi watu saba. Wakaazi sasa wakilitaka shirika la huduma kwa wanyama pori nchini KWS kuchukua hatua mara moja,