Watu 71 wamefariki kwenye mafuriko Mai Mahiu

  • | Citizen TV
    524 views

    Idadi ya waliofariki kwenye mkasa wa mafuriko huko mai mahiu kufikia sasa ni watu 71 huku zaidi ya watu 90 hawajulikani waliko Leo ikiwa siku ya pili ya uopoaji wa maiti, mamia ya watu wamekita kambi katika shule ya sekondari ya ngeya ambapo huduma za kibinadamu zinatolewa na serikali kuu, serikali za kaunti na wadau wengine.