Watu saba wa familia moja waaga kwenye ajali ya barabara eneo la Naivasha

  • | Citizen TV
    5,037 views

    Familia moja inaomboleza vifo vya watu saba wa familia hiyo walioangamia kwenye ajali ya barabarani katika eneo la Naivasha. walioaga ni ndugu watatu na wana wao wanne ambao walikuwa wakitoka kwenye misa ya wafu ya mjomba yao aliyeaga. haya ni huku watu wengine wawili wakifariki kwenye ajali nyingine ya barabarani katika kaunti ya mchakos. Mary Muoki na taarifa hiyo.