Watu Saba Wakamatwa Kufuatia Kifo Tatanishi Cha Paul Sunday

  • | TV 47
    117 views

    Maafisa wa polisi katika Kaunti ya Homabay wamewakamata watu saba kuhusiana na mauaji ya Paul Sunday ambaye alikuwa mwanafunzi wa mwaka wa nne katika Chuo Kikuu Cha Tom Mboya.

    Paul sunday alipatikana katika hoteli ya dalawa akiwa na majeraha kabla ya kukimbizwa katika hospitali ya rufaa ya homabay ambapo alifariki.

    #TV47Wikendi #Events2024

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __