Watu sita kufariki kufuatia mafuriko jijini Nairobi

  • | Citizen TV
    12,631 views

    Mafuriko yanayoshuhudiwa hapa jiji Nairobi yamesababisha vifo vya watu sita. Mama na wanawe wawili walifariki baada ya nyumba yao kuangukiwa na mwamba katika eneo la Mathare.