Watu wa jinsi mbili: ‘Nimefanyiwa upasuaji mara 39’

  • | BBC Swahili
    1,603 views
    'Nimekuwa na uchungu maisha yangu yote, sijawahi kuwa na furaha' Katika kuadhimisha siku ya jinsi mbili duniani, mwandishi wa BBC Asha Juma amekutana na Daktari Denis Wamalwa mtu wa kwanza wa jinsi mbili kushikilia ofisi ya serikali pamoja na Mwathirika mwingine aliyepewa jina la Samuel wakielezea changamoto ambazo wamekabiliana nazo katika ukuaji wao. 🎥:@judith_wambare #bbcswahili #kenya #jinsia Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw