Watu walio na ulemavu walalamika kutengwa Kisumu

  • | KBC Video
    7 views

    Watu walio na ulemavu katika kaunti ya Kisumu wanalalamika kuhusu kile wanaochosema ni kutengwa katika nyadhifa za uongozi pamoja na uteuzi katika serikali ya kaunyi hiyo na hata kiwango cha kitaifa wakikariri kuwa wana uwezo wa kuongoza. Wakihutubia wana-habari mjini Kisumu, Wakenya hao walio changamoto za kimwili walilalamika kwamba kwa muda mrefu wamebaguliwa kwenye uteuzi katika serikali za kaunti na ile ya kitaifa. Wakati huo huo wametoa wito kuwe na sera za kuwashirikisha kwenye siasa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive