'Watu waliokuwa wananipa nyaraka hizi ni kutoka ofisi halali za serikali'

  • | BBC Swahili
    605 views
    Nelson Amenya anasifiwa kama shujaa nchini Kenya baada ya kufichua mkataba wenye utata wa dola za kimarekani bilioni 2 kati ya serikali ya Kenya na Kampuni ya India ya Adani Airport Holdings. Mpango huo ulitaka kukodisha uwanja mkuu wa ndege wa Kenya huko Nairobi kwa kampuni hiyo kwa miaka 30 na kuufanya kuwa ya kisasa. Nelson Amenya ambaye alifichua moja ya mikataba hiyo anasema hawezi kurudi Kenya, akihofia usalama wake. #bbcswahili #kenya #aidangroup Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw