Watu wanane wafariki kwenye ajali ya barabara Narok

  • | Citizen TV
    2,940 views

    Ajali Katika Barabara Ya Narok Kuelekea Mai Mahiu Usiku Wa Kuamkia Leo Imsababisha Vifo Vya Watu Wanane. Malori Maiwili Aina Ya Trela Yanadaiwa Kusababisha Maafa Hayo Baada Ya Kugonga Matatu, Gari Aina Ya Prado Na Boda Boda Iliyokuwa Na Abiria Wawili. Imedaiwa Kuwa Trela Moja Ilipasuka Guruduma Kabla Ya Ajali Hiyo Kutokea.