Watu wanane wauawa katika kaunti ndogo ya Bangale huko Tana River

  • | K24 Video
    102 views

    Watu wanane wameuawa katika maeneo ya viwanja vya KBC , kaunti ndogo ya Bangale huko Tana River. Mauaji hayo yametokana na ghasia za kijamii zilizosababishwa na mizozo ya ardhi. waathiriwa sasa wanamtaka inspekta jenerali wa polisi awahamishe maafisa wote wa polisi wanaohudumu katika eneo hilo.