Watu wanne waaga dunia kwenye ajali mbili tofauti

  • | KBC Video
    231 views

    Watu wanne wameaga dunia kwenye ajali mbili tofauti baada ya magari walimokuwa wakisafiria kuhusika kwenye ajali barabarani. Kisa cha kwanza kilihusisha wenye agari wawili walioaga dunia baada ya lori kugongana na pikipiki huko Marindi kwenye barabara ya Rodi-Rongo katika kaunti ya Homa Bay. Ajali ya pili iliyotokea mjini Kwale ilisababisha vifo vya dereva na utingo wake baada ya gari lao linalodaiwa kuendeshwa kwa kasi kugonga ukuta na kuwaua papo hapo. Yaaminika kwamba waathiriwa hao wawili walikuwa wakijaribu kuingiza kimagendo miraa na muguka mjini Kwale. Mwanahabari wetu Timothy Kipnusu anatuarifu zaidi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive