Watu wanne waliofariki baada ya kufunikwa na maporomoko Baringo wazikwa

  • | NTV Video
    148 views

    Familia ya watu wanne waliofariki baada ya kufunikwa na maporomoko ya udongo wiki jana wamezikwa katika kijiji cha Kasisit, kaunti ya Baringo.

    Gladys Chepkangor na vijana wake watatu walifariki, agosti tarehe 6 baada ya mvua kubwa kunyesha eneo hilo na kuziacha familia 35 bila makao. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya