Watu wanne waokolewa kutoka kwenye vifusi baada ya poromoko la jumba eneo la Rongo

  • | Citizen TV
    5,954 views

    Shughuli za uokoaji zimeendelea eneo la Rongo kaunti ya Migori kufuatia mkasa ambapo jumba la ghorofa nne liliporomoka hapo jana